Peke yake anayecheza africa ndiye kaanza. Wengine Wote ulaya.I see inonga bacca appreciate π sana
Kaanza Inonga.I see inonga bacca appreciate [emoji119] sana
Zimbabwe pia.Inakuaje nyimbo za taifa za tanzania,zambia na south africa zinashabiana!?
South Africa ndo wao, ila Nyerere, Kaunda na Mugabe wali copy kwa Mandela.Nadhan wao ndo wali copy kwetu.
Ndio yupoKaanza Inonga.
South hiyo nyimbo wanayo since 1912.Nadhan wao ndo wali copy kwetu.
Messi mwenyewe anavaa za namna hiyo yaani Argentina kama hujaelewa.Taifa lenye jersey za stripes!
Ndo kama ilivotokea imekula kwao.Congo wame wa pin Zambia nyuma kinoma.
Sema ss ndo wapate goal vinginevyo game baadae itabadilikia kwao.
Sikuzote wanakuwaga kama wanyonhe ila wanafika mbaliZambia nao sio wanyonge