2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Ukweli mchungu ni kwamba taifa stars ya ccm ndiye kibonde wa kundi hivyo utofauti wa magoli ndio utaamua kati ya wale 3 nani apite. Na sehemu pekee ya kushindia goli nyingi ni kwa taifa stars ya ccm. Hivyo hata Chipolopolo wanalitambua hilo na watafungua busta kupata magoli mengi ili wakasake droo na morocco.

Kazi iendelee
 
Mda wa kujua ukwel umekarbia.

Team sio mbaya wengi wapambanaji.. Lkn sio upambanaji tu unahitajika na Technical ability kushinda huu mchezo kwa kutengeneza na kutumia nafas... Ngj tuone itajulikana tu.

Ukitoa GODFATHER(Samatta) wengne wote sio mbya sana.

Lkn mda utaongea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…