raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Lazima achukuliwe na arsenal mwaka huuMsuva siku zote uwa ana akil timamu.
Wa Kalasha mkuuWw mnyiha wa Vhawa au Igamba ,🤣🤣
Tumuulize mhasibu okwi Boban SunzuSunzu huyu na Sunzu wetu aliyecheza na akina Okwi na Boban ni ndugu?
Fei toto simuoni mimi tuu au
Mnokumuamini inahitaji moyo wa chuma sana
wakwanz kutumia ni sisi....south wameanz kutumia baada ya mkaburu kuondokaSisi ndio tumeiga. Wimbo ni WA Afrika kusini na mtunzi ni Enock sontonga
Ndio ni mtu na mdogo ake Tena huyu Sunzu aliye kwenye Mechi ya leo alikuepo kwenye ubigwa wa 2012 na Zambia na kacheza hadi English leauge na Reading sio mchezaji mwenye profile Ndogo pamoja na kwamba ni MzeeSunzu huyu na Sunzu wetu aliyecheza na akina Okwi na Boban ni ndugu?
Yah ni ndugu kabisa. Stupila Sunzu na Felix SunzuSunzu huyu na Sunzu wetu aliyecheza na akina Okwi na Boban ni ndugu?
Fei hajawahi kuwa mbunifu, subiri tu umuone kwenye mashuti na kukaba hapa na pale basi.Fei toto simuoni mimi tuu au
Wimbo walikuwa nao na ndio ulikuwa inatumika katika harakati za kugombania uhuru. Kilichobafilika baada ya uhuru wao waliongeza kipande Cha lugha ya kiingereza na kikaburu hivyo wimbo UKAWA na lugha nnewakwanz kutumia ni sisi....south wameanz kutumia baada ya mkaburu kuondoka
Nadhani anahitaji msaada... Msuva hashuki kumsaidia ... tofauti na kushoto Kibu anashuka kumsaidiaHuyu beki Mnoga hamna kitu naona ni uchochoro sana