United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,132
- 6,353
NakaziaHawa Zambia wanapaswa kuongezwa wasipo ongezwa watachomoa
Angepiga V-Pass kwa Kibu, ilikua kamba ile daaa.Tshabalala almanusura atengeneze goli la pili kwa Stars
Kazi nzuri ya Mwanyeto, kama kawaida yake.Stars inakoswa koswa paleee
Daka alitakiwa atoe V-passManula kama nyani
Bora katokaMwamnyeto faka alitaka kuchoma kibanda asante Manula