Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Sub nzuriNaona kocha ameamua kuimarisha kiungo
usisahau izi mechi za mtoano kuna mda unahitaji ushindi sio kuburusha watu unasahu tukifungwa leo biashara yetu inakua imeisha hapo kwanin tusilinde tulichonachoDah, ila Tanzania mpira hatujui jamani. Hapa mipango hakuna kabisa tunaangalia mpira uishe.
Ili apate nini?😅Naona kocha ameamua kuimarisha kiungo
Commentator a very negative way of taking free kickEti wanapiga free kick kwa kurudisha nyuma! Dhidi ya watu pungufu.
Kachoka mzeeMao wamemtoa wakati anahitajika
Utashangaa Zambia anasawazisha au kushinda kabisa 🤣🤣 tuombe Mungu tushinde hii gemuStars wanataka kulinda haka kagoli kamoja au mimi ndio sielewi
Ha ha chochote kituIli apate nini?[emoji28]