Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #3,661
Labda draftHivi Tanzania hatuna vipaji vya michezo mingine maana mpira hatujui
asa wew unataka wachezaje mbona wanashambulia wanakaba wanatengeneza nafasi au wew unataka mtu akimbia na mpira uwanja mzima anapiga chenga ndio ufurahiHivi Tanzania hatuna vipaji vya michezo mingine maana mpira hatujui
Na baoLabda draft
Hatujui tu mpira bwana haiitaji ujuzi kuliona hilo.usisahau izi mechi za mtoano kuna mda unahitaji ushindi sio kuburusha watu unasahu tukifungwa leo biashara yetu inakua imeisha hapo kwanin tusilinde tulichonacho
ila leo katoa assistTangu nimeanza kuangalia mechi za Stars sikumbuki lini Samata amefunga goli mara ya mwisho