Kabisa,Zambia wanaweza wakapata goli lingine
mim nilikatisha mechi ya Real madrid kwa ajili yao afu waleta upumbavu kenge hawaNikija kuishabikia tena Taifa stars niiteni Maghayo mwehu..
Si wachezaji tu hata mwalimu nae naona shule ni tatizoKuna haja ya kuunganisha SOKA kipaji na SHULE...
Matokeo ya leo ni tatizo la shule kwa wachezaji stars