Night Watch
JF-Expert Member
- Apr 4, 2017
- 2,092
- 2,126
Kuna haja ya kuunganisha SOKA kipaji na SHULE...
Matokeo ya leo ni tatizo la shule kwa wachezaji stars
🤣🤣🤣🤣🤣 Tabu sanaKichwa cha mwendawazimu,
Kichwa cha mpumbavu,
Kichwa cha mwehu
Kama Wamasai tuDah vijana wa kizimkazi sio wa kuwawekea dhamana.
wanampongezaje Mama kwani yeye ndio alikua anacheza timu had leo inapitisha bakuri wampongeze kwa kitu Gani watakua wapuuziKama nawaona akina Nape, Mwana FA, Gerson Msigwa na wengineo wanavyofuta meseji za kumpongeza mama kwa ushindi
Kama nawaona akina Nape, Mwana FA, Gerson Msigwa na wengineo wanavyofuta meseji za kumpongeza mama kwa ushindi
Ngoja niende kwenye Uzi wetu wa Morocco kuishabikia hii timu ni upumbavu kabisaMashabiki wa kichwa cha mwendawazimu naona mnaumia.
Wamorocco tuna waangalia tuView attachment 2878991
Mkuu pole sana naona jinsi ulivyoumiaNgoja niende kwenye Uzi wetu wa Morocco kuishabikia hii timu ni upumbavu kabisa
Tatizo hamkuniambia mapema ,sasa naingia Morocco jumla jumla.Mbona umechelewa sana kuchukua maamuzi
Ngoja niende kwenye Uzi wetu wa Morocco kuishabikia hii timu ni upumbavu kabisa