Goodluck Mchika
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 1,228
- 1,138
Sema anapiga kazi huyo ana kaba sana😁🤣😂[emoji23][emoji23]hatimae nimemuona mchezaji na kitambi
Wanakuwa kama TZNamibia wanatengeneza nafasi wanashindwa kuzitumia
Stars walikuwa wamepaki busWanakuwa kama TZ
🔥🔥🔥Namibia wanapiga mpira wa kujiamini na kuvutia
Mkuu nakukumbusha wewe ni NAMIBIA usisahau hilo.Right wing ya Nambibia imezubaa
Sijasahau. Namibia wanapiga mpira mzuri, yanarudi.Mkuu nakukumbusha wewe ni NAMIBIA usisahau hilo.