Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Ile iliyopita kule Cameroon ilikuwa bored, magoli machacheAfcon ya mwaka huu naona ina magoli
Timu zinajitahidi kufunga
Ma crush anakosaje bao jamani.Shalulile anakosa goli yeye na wavu
[emoji23][emoji23][emoji23]Number 4 wa Namibia ana kitambi kama changu
Njoo nikuonyeshe kitambi my π[emoji23][emoji23][emoji23]
Alikosa umakini tuMa crush anakosaje bao jamani.
Yaan leo sijui nishabikie wapi.Namibia wanacheza mpira..ni vile tu kina Shaulile wanaleta u mamelod
Mxxxxiiiiieeeew, ukitoe wapiii?Njoo nikuonyeshe kitambi my [emoji23]
π€£ππππMxxxxiiiiieeeew, ukitoe wapiii?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]