Being_neutral
JF-Expert Member
- Jan 9, 2024
- 376
- 727
MKUU NILIKUWA NAKUKUMBUSHA TU WEWW NI NAMIBIA. ZINGATIA HILISijasahau. Namibia wanapiga mpira mzuri, yanarudi.
Mama joy ni maarufu afrika nzima sasa🤣🤣🤣🤣Mama Joy amefurahi mnoo
Huyu temba zwane ana balaa sanaSouth leo wamechachuka vibayaa hawa, mbna wako [emoji91][emoji91] sanaa?
Wamuhurumie na Shaulile jamani, si anawapaga kushine hapo Mamelodi?
Aaaaah
Hako kafupi leo kamekula miguu ya kuku, so kwa kukiwasha huko, mweeeehHuyu temba zwane ana balaa sana
MKUU NAKUKUMBUSHA WEWE NI NAMIBIA CHONDE CHONDE ZINGATIA HILIDah,
Asisahau kiapo chake sioMKUU NAKUKUMBUSHA WEWE NI NAMIBIA CHONDE CHONDE ZINGATIA HILI
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukistaajab ya Taifa Stars utayaona ya Namibia
😁😂😂Wanabalaa Hawa wanashambulia mwanzo mwishoHako kafupi leo kamekula miguu ya kuku, so kwa kukiwasha huko, mweeeeh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
NAMIBIA NI TABORA MODERN TAARABU ILIYOCHANGAMKAUkistaajab ya Taifa Stars utayaona ya Namibia
Nilimshauri mapema sana mkuu kam uliona kule juuAsisahau kiapo chake sio