Night Watch
JF-Expert Member
- Apr 4, 2017
- 2,092
- 2,126
SA ni stars waliochangamka tu
Naunga mkono hojaStars wangecheza km SA Zambia wangekufa 5 leo mpira mbele sio mpira nyuma huyu mtu wa kupenda nyuma sijui nani yeye ni nyuma tu anapenda nyuma baada apende mbele anapenda kupeleka mipira nyuma back pass wenyewe wanaita tumbafu, daima mbele nyuma mwiko watembee na hio slogan watavuna magoli hii africon sio wanapenda kubakia nyuma tu
Naskia baridi my[emoji23][emoji23][emoji23]
Namibia tu wameingia kwenye kopi. Mpira wao wa kufunguka sana umewaponza.Mbona leo kama wametakata sana hawa Masandawana
NAKUKUMBUSHA TU WEWE NI NAMIBIA. CHONDE CHONDE USISAHAU HILI.Kwenye draft tunasema Namibia wameingia kwenye kopi.
Mali na Tunisia watapita kwenye hili kundi.
Leo mechi zinaanza saa mbili kamili mechi za group A zote zinachezwa wakati mmojaSaa kumi na moja hamna mechi Leo
ivory coast akitolewa nitaskia raha kweliMsimamo Kundi A
Ivory Coast anahitaji ushindi ili aweze kufuzu, Je ataweza kupindua meza?View attachment 2879295