Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Unachekesha sana ngoja tuoneNigeria anakufa mapema kabisa
NataniaUnachekesha sana ngoja tuone
Watashinda leoIt is now or never kwa Ivorians
🤣🤣Nigeria anakufa mapema kabisa
Natania 🤡
Aisee.ivory coast wafungwe tu naona wakimbia kimbia tu
Atapitishwa mlango wa nyuma aka best loser mwenyeji anatolewa in robo sio makundi most of the timeivory coast akitolewa nitaskia raha kweli
Hamna kazi huyoHuyu Pepe mbona kaisha sana
Kazingua sanaMnamuelewa huyu Pepe?
Ananyang'anywa mpira miguuni kabisa.
Goli la 3 la wazi kabisa anàkosa
IlikuwepoHivi mbona Jana Taifa stars na Zambia hawakuwa na Cooling Break?