Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #4,081
Kabisa na kadi ya njano anapewa hiiFofana anataka penati ya mchongo
kama mechi yao na Burkinafaso ilijaa rushwa tu ile mechiAFCON iliyopita Cameroon alikuwa anabebwa sana, mazingira kama haya refa angeita kati
NakaziaAFCON iliyopita Cameroon alikuwa anabebwa sana, mazingira kama haya refa angeita kati
Na bado wakashindwa kuchukuakama mechi yao na Burkinafaso ilijaa rushwa tu ile mechi
sema midemu ya Africa magharibi ipo vizuri mi black flani ivi afu nyama kama zoteX wangu namuona uwanjani hapo abijan