United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,132
- 6,353
ivory coast ya mchezaji wenu wa zamani imekandwa mojaGame leo vip nani anashinda
Game ya saiv mpira umebadilikaivory coast ya mchezaji wenu wa zamani imekandwa moja
Wamepata nafasi nyingi ila matumizi ya nguvu ni mengi kuliko akili.Ata akitoka sawa tu.Nawaunga mkono wote mnaotaka mwenyeji atoke
Umesikia wapi mbio ya kobe ikahitaji cooling break 😄 angalau mwendo wa ngiri mkia juu ndiyo inahitaji kupooza rejetaHivi mbona Jana Taifa stars na Zambia hawakuwa na Cooling Break?
Ha ha ha....[emoji1787]Ukisikia Baba mwenye nyumba atimuliwa nyumbani na wapangaji wake, basi ndo hiki kinachoendelea hapa.
Unataka kumleta utopoloYule jamaa mwenye kipara wa equtorial guinea mwenye kipara anayefunga sana anaitwa nani na anatokea club gani?
OffsideChumaaaaaaaaaa
Waaapi offsideNa hatimaye sasa
hili litakuwa halali bila shaka