United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,132
- 6,353
hapana hao ni cameroon Gambia hawez cheza mpira wa ovyo hivyoHivi Gambia ndio wenye white au? [emoji16][emoji16]
Kombe lipo Senegal au Cape VerdeWakaze mafuvu lasivo watalia kama Ivory jana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] si wanacheza Leo??Nimewamiss tuu...hahahha
Au TanzaniaKombe lipo Senegal au Cape Verde
unafanya kazi Posta afu unaishi Goba unategemea nini vitu vizur lazima uvikose kwanin usishi ata apo Ferry kigamboni jokes lakiniLeo cna mzuka kabisa wa kucheki [emoji460], na venye niko mbali na home, naona jau tyuuh.
Labda nkifka home, km match zitakua bado bas naweza tazama na hapo km usingizi hautanikamata.
Kesho saa 5.. usiku.. Tutaunga na thread ya JF usiku wa manane[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] si wanacheza Leo??
Na Ndio vizur Etoo ata wanangaa kweli wakitoka kazi wanayoWakaze mafuvu lasivo watalia kama Ivory jana
Hamna utani hapa 😁😁unafanya kazi Posta afu unaishi Goba unategemea nini vitu vizur lazima uvikose kwanin usishi ata apo Ferry kigamboni jokes lakini
Na Mtania tu purukushani za hili li mji ni kero tupu Mara njia ya jangwani imefungua sjui mzunguke muhumbili Yani Shida tupuHamna utani hapa [emoji16][emoji16]
Ndo aache rushwa/ figisuuNa Ndio vizur Etoo ata wanangaa kweli wakitoka kazi wanayo