2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

unafanya kazi Posta afu unaishi Goba unategemea nini vitu vizur lazima uvikose kwanin usishi ata apo Ferry kigamboni jokes lakini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hoja yako ina mashiko, ila kwangu ni tofauti.
Na hata hapa nilipo, km nikitaka kutazama naweza ila aaah sijisikii kabisa.

Umenikumbusha, Ferry, mwembe radu, tuamoyo, msikiti wa wapemba.

Ila kigas bhana, woiiiih.
 
kigamboni wanateseka tu na mipantoni yao mibovu pantoni linajaza watu had mlangoni kabisa mara litake kwenda zanzibar mara lizime katika ya maji afu wakati huo huo limebeba vyuma vya IFM siku nikiskia limezama naingia kujiokotea Binti mmoja wa IFM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…