Mshaanza sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mane anakosa goli la wazi,kale kabinti tayari katakua kanamaliza nguvu zake kitandani
Na soon anapasuka Goli la piliCameroon kala chuma
Wacha inyeshe tuone panapo vujaHawa Gambia wanasakama langoni mwa Cameroon siyo poa
Bora tukose woteThe Gambia wanatak kumfanyia Cameroon kitu Mozambique kamfanyia Ghana.
"i know am going home, but am taking you with me" [emoji23]
Hata mm naona aya mambo ya Best looser wangeachana nayo tu.Best loser inakata vibe ya mashindano
[emoji23]Ndo kitu anatk kumfanyiaBora tukose wote
Una uhakika?jamaa inaonekana halijaaza kuchapa
asa linachapa saa ngapi na wakati lipo kambini na Timu ya Taifa au linafokorea huk huk kambiniUna uhakika?