Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Jamaa wanagusa hawa itakuwa wengi wamezaliwa nje ya Afrika au wamekulia nje ya Afrikakuna jamaa anacheza Altetico madrid anaitwa Reinldo mim nimeshangaa kinoma kipindi chote nilikua najua ni Mbrazil
Hamna karibia timu nzima inakipiga ligi ya ya ndaniNje hawa
jamaa anakiwasha sana Ateltico madrid nilikua sjawhi fikiri kama mozambique wanaweza kuwa na mchezaji anacheza klabu kubwa kama hiyoKwa nini ?
Mbona mpira wao modern sana kama wa njeWengi wanacheza ud songo hao na timu yao moja inaitwa maputo.
Mchezaji wao wa maana anacheza Atletico Madrid.
Aston Villa ni club ndogo kwani?jamaa anakiwasha sana Ateltico madrid nilikua sjawhi fikiri kama mozambique wanaweza kuwa na mchezaji anacheza klabu kubwa kama hiyo
Wewe ni mmakonde ?Half Time.
Misri 1 - 0 Sisi.
Naunga mkono hojaUtulivu unakosekana ndani ya box msumbiji wakiwa na ball hii inawa cost
Hao ni wamakonde og mkuu 😂wamezaliwa nje ya Afrika au wamekulia nje ya Afrika
Atletico madrid ni bora mbali sana kwa Villa juzi 2021 katoka kubeba La liga kila siku anacheza champion leuage, iyo Europa leauge kabeba mara kibaoAston Villa ni club ndogo kwani?
Samatta keshakichafua pale
Daaah! jamaa wanapiga ball hadi nawaonea wivu mimi napenda mpira mzuri bila kujali matokeoHao ni wamakonde og mkuu 😂
Ni kweli wapo vizuri, wakitulia wanaweza kupindua meza na kuwapiga mafirauni.Daaah! jamaa wanapiga ball hadi nawaonea wivu mimi napenda mpira mzuri bila kujali matokeo
Hana namba kwa mpira huu nao onaMiquissone ana haki ya kuachwa
Ni wamakua Hawa😁🤣Hao ni wamakonde og mkuu 😂
Naunga mkono hojaMiquissone ana haki ya kuachwa
wale wazoefu mim bado na imani nao sanaGhana ana kazi hapo baadae