Ngoja apigwe kwanza.Huyu Ki hizi assist ana mpango wa kubaki Yanga kweli?
Ndio nilitaka kusema hapa, tunakosa nini sisi kucheza namna hii? Inaumiza mnoNaangalia Juhudi za Wachezaji kwenye hii match, nawakumbuka Taifa Stars.
Inaliza sana
Kibegi ni moja ya mafanikio 2023 ππMabululu anawafaa nyie simba sc aka kibegi fc
Anacheza namba ngapi hizi game tunazochekiMabululu anawafaa nyie simba sc aka kibegi fc
Kabisa timu imejaa matapeli kibao ile π€£ππKibegi ni moja ya mafanikio 2023 ππ
Ni 9 yule
Wanazingua sanaUjinga gani huu wanafanya Burkinabe? Dah
Watu wanacheza unawaona.Ndio nilitaka kusema hapa, tunakosa nini sisi kucheza namna hii? Inaumiza mno
Huwa hawawezi kujituma mwanzo mwisho kosa kidogo tu tunaumizwa taifa loteNdio nilitaka kusema hapa, tunakosa nini sisi kucheza namna hii? Inaumiza mno
Nawakumbusha Cote D'Ivoire jana wamecheza hivi hivi.Ujinga gani huu wanafanya Burkinabe? Dah
Mnaanza kujikataa sioHuyu gabore hamna kitu
Wale walijichanganya wenyeweNawakumbusha Cote D'Ivoire jana wamecheza hivi hivi.
angalia kilichowakuta
Mimi nimeuliza hapa, ana mpango wa kubaki Yanga kweli huyu? Hizi pasi za EPL zinatunyima raha Wananchi.Ebhna eehhh hyo pasi ya Aziz sio poa