Sio kumzuia tu bali na kumfunga kabisa. Halafu naona wanamkosa kosa hapa hatari. Moja imegonga mtambaa panya hapaImagine Mauritania wamemzuia Algeria hadi sasa,ingekuwa wale wetu sahizi ishasawazishwa na kuongezwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hasa huyo SlimaniAlgeria analeta janja janja hapa
😂😂😂Imagine Mauritania wamemzuia Algeria hadi sasa,ingekuwa wale wetu sahizi ishasawazishwa na kuongezwa
Sent using Jamii Forums mobile app
35yrsSliman keshajichokea siku izi
Kaishiwa mbinu 😂Azizi ki anaruka ruka tu
Yaani amekuwa mzigo aisee within a short time.Wachezaji walioenda kucheza uarabuni naona wote wamemea vitambi
Mahrez