Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Nadhani kambi ya Uto imekufa rasmi mkuu πGoooooooooal.
Ha ha ha...Hata wafunge 10 tunasonga mbele.
Wanapita. Wana points 4 hao.Ombeni Mauritania wawakazie Algeria hadi mwisho
WashakimbiaNadhani kambi ya Uto imekufa rasmi mkuu π
Yaani amekuwa mzigo aisee within a short time.
Algeria akishinda anapita na AngolaWanapita. Wana points 4 hao.
Hata Mozambique [emoji1174] wametoka ila sio Kinyonge aiseeHawa waangola wana balaa naona hizi timu za kireno Zina balaa sana wako wa 3 sasa Cabo Verde , guinea ikweta na Angola ni timu zenye balaa sana
Wasisawazisha haina impact.Algeria [emoji1026] watasawazisha.
Yamekuwa hayo tena,?Hata wafunge 10 tunasonga mbele.
Dakika 1Mbona mpira hauishi
Yaani amekuwa mzigo aisee within a short time.
Watapita kama best looserWasisawazisha haina impact.
wanatakiwa washinde ili wawe na point 5
Waende nje tu mpr wao hauna maana yoyote.Bado dakika 1.
Algeria wafunge virago vyao