Benzema naye kafeli hulo uarabuniUarabuni hakuna ligi...
Mahrez kawa kama kibu denis
Kwa mpira mliocheza leo hamtafika popote, lbd mkutane na staz hapo ndo mtatoboa 😂Hata wafunge 10 tunasonga mbele.
Naunga mkono hojaHata Mozambique [emoji1174] wametoka ila sio Kinyonge aisee
Watapigwa nyingiKesho Tunisia ana mitihani kwa wajukuu wa mandela
Watapigwa nyingiKesho Tunisia ana mitihani kwa wajukuu wa mandela
Tamaa mbaya...Benzema naye kafeli hulo uarabuni
Mida mibovu.sasa hv saa 8 ya usiku unawaza stars badala ya kulala?