Franklin1902
JF-Expert Member
- Aug 1, 2018
- 2,241
- 4,876
[emoji23]Mkuu team zako unazochagua zinatia sana mashaka.Ninaamini Baadae, Cameroon hawataniangusha
Hawaonyeshi kama wana nia yakushinda hii gameSasa wana yai wafanyaje
Daaah![emoji23]Mkuu team zako unazochagua zinatia sana mashaka.
Tumekubaliana hapa kwa pamoja hawa Best looser inabid waende wote nyumbani au ww unapinga ilo?
Tena kwa kiwango kikubwa sana best loser usimuamini ata mmoja[emoji23][emoji23][emoji23] unataka kuniambia nimefanya matumizi mabaya ya ushabiki?