Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Staz wapigwe watolewe mapema ili kuua chawa wote wa mama walivamia footballSi umeona wamebadilisha matokeo huko. Ungekuwa ule ushuzi wetu, ungeona mabango ya Nani kama Mama huko kwa watu. Siasa uchwara kila sehemu.
Kuna vitu vingine ukifikiria unatamani utapike. Eti Mwijaku na Baba levo ndio wahamasishaji. Hatusikii nchi nyingine kuna huo upuuzi.Staz wapigwe watolewe mapema ili kuua chawa wote wa mama walivamia football
Nahisi sisi ndio tutakuwa vibondeKiuhalisia tukicheza na msumbiji hatutoboi
Hakuna kitu...mzeeHii foul hii tusubiri tuone
kwani ushasahau kipindi kile 2006 kitu kama hicho walitufunga Goli moja na tulikua tukishinda tunafuzu Africon tukaishia kulilia tuKiuhalisia tukicheza na msumbiji hatutoboi
UmepumuaHakuna kitu...mzee
Umeanza kutuchekesha kabla hata ya Mchezo wenyeweNgoja uone Morocco watakavyowatahiri CCM FC.
Sikuwa na wasiwasiUmepumua
walale wakati washatangulizwaMisri hawa lali hata wakipigwa buti
Sio kawaida yao wazee wa kulalawalale wakati washatangulizwa