mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Dakika 10 nyingi sana kwenye ball kupaki bus sio kazi nyepesiBado Dakika 10 tu.
Wanetu wa uchi dachi. kazeni
wanashindwa kumuingiza yule namba tisa wa Ahaly aliyetupiga Goli mbili simba kwenye super leauge taifa wanashangaa tuBado Dakika 10 tu.
Wanetu wa uchi dachi. kazeni
Watu wanaangalia upepoMbona watu hamsemi mnashabikia timu gani?
Siwaelewi
Itakuwa PortugalKinawakati nikawa nawaza hivi Hawa Mozambique ndio msumbiji?
Ni yeyeHuyu Dogo anaingia ni yule wa Al Ahly?
Taifa starsMbona watu hamsemi mnashabikia timu gani?
Siwaelewi
Pira JKTMbona watu hamsemi mnashabikia timu gani?
Siwaelewi
Tunawapakia bus kina Mo Salah!! 🤣🤣Dakika 10 nyingi sana kwenye ball kupaki bus sio kazi nyepesi
umetisha sana mwanetuPira JKT
Kazi ipo kupaki bus sio kazi nyepesiTunawapakia bus kina Mo Salah!! 🤣🤣
Kwani hapa Taifa Stars wanacheza?Taifa stars