Babu yake nani huyu, hapo ndio kwanza ako na miaka 32 tu.Haya babu huyo kaingia😂😂
Song fala sana... Unatafuta goal mlete mapemaSong Kazingua huyu ilibidi kipindi cha Pili aanze, sasa Dk ya 80 saizi
Ngoja tuone maajabu hapa mkuu kama yapo😀Babu yake nani huyu, hapo ndio kwanza ako na miaka 32 tu.
Kijiji Hakiendi bila wazeeUtu uzima dawa[emoji23]
[emoji23][emoji1430][emoji419]Kijiji Hakiendi bila wazee
Hapa sasa ndio huwa unamuona mfalme wa soka duniani anapofanya maajabuHapa sioni timu ya kusawazisha
[emoji1787][emoji1787]Iwobi ni Tuisila kisinda