Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #561
Kapiga zake njeHahaha Salaah
Nimemwona...Ni yeye
apa tupo misri wengine wapo kwa wamakondeKwani hapa Taifa Stars wanacheza?
poleapa tupo misri wengine wapo kwa wamakonde
Tanzania tunamaliza na point 2, Bingwa atakuwa Egypt,
kwa lile kundi hapana asiee japo tunaweza kufanya kituKwa hizi mechi chache kwakweli
Kama wachezaji wetu wakikomaa nadhani wanaweza walau kufanya tusibuluze mkia this time au hata kupita..kwa hatua tuliyopo nadhani watakuwa wamejitahidi
Msumbiji wanatupa somo kubwa sana