Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Cameroon Wasubiri kuoga Matusi ya EtooNigeria wanapata goli la pili
Game over hapa
Hamna mchezaji muleKwakweli Iwobi ni TK Master [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Etoo kuna mahala anafeli wala asitake kuwatukanaCameroon Wasubiri kuoga Matusi ya Etoo
Cameroon [emoji1062] hawakuwa Best Looser. Walikuwa nafasi ya piliBest loser wote wanarudi nyumbani
Mhh wanaweza Wakala Chuma ya TatuDakika 10 za kuchomoa kazi wanayo
Eti alikuwa analia!!?Haya hukumu imeshatoka, Mtuhumiwa alikua ana sumbua Mahakama tuu