Ni kama best loser tu, maana hawakupishana sana na GuineaCameroon [emoji1062] hawakuwa Best Looser. Walikuwa nafasi ya pili
Yan mwnyw na wa term kama. Best looser tu.Ni kama best loser tu, maana hawakupishana sana na Guinea
Nigeria wanataka kuwa kama Ugiriki ya Euro 2004 wazee wa kupaki basi wakishakufunga kimoja au viwiliNigeria ya kawaida sana..
Wachezaji nao Wanazingua.Etoo kuna mahala anafeli wala asitake kuwatukana
NakaziaYan mwnyw na wa term kama. Best looser tu.
Maana walivopita walikua ni bahat nasibu tu.
Mm natk Angola awatoe warud tu nyumbani.Nigeria wanataka kuwa kama Ugiriki ya Euro 2004 wazee wa kupaki basi wakishakufunga kimoja au viwili
Kazi wanayo leoMhh wanaweza Wakala Chuma ya Tatu
We huyu hajakutana na Timu zinazotembea,Nigeria wanataka kuwa kama Ugiriki ya Euro 2004 wazee wa kupaki basi wakishakufunga kimoja au viwili
Awa si makundi walidroo zote?Yan mwnyw na wa term kama. Best looser tu.
Maana walivopita walikua ni bahat nasibu tu.
Wamekutana na Cameroon inashambulia kama stars. Wakikutana na timu inayojua kushambulia watakula nyingi sana.We huyu hajakutana na Timu zinazotembea,