2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Ni nadra sana wachezaji wenye vipaji average kuja kuwa makocha wazuri. Nafikiri mwaka jana niliwahi kuhoji weledi wa Rigobert Song kuwa kocha.

Rigobert Song hajawahi kuwa mchezaji wa maana. Huwa sielewi kwa nini Cameroon wanamuheshimu.

Song kiwango na uchezaji wake ulikuwa kama huyu Kennedy Juma tu tena afadhali Kennedy ana nidhamu. Siyo wachezaji wabaya ila position wanayocheza na style zao inakupa mashaka uwezo wao wa kuja kufundisha wengine kwa mafanikio.
 
Mpira ingekuwa ni ukubwa wa mwili cameroon angeshinda lakini fitness , speed na akili ndiyo vimefanya Nigeria ashinde kirahisi .
Song sijajua style ya ufundishaji wake lakini alipata wapi uhuru wa kumwacha striker Eric chepong motin wa Bayern Munich mbele akaweka watu wanaokimbia kimbia bila plan yoyote?
Nitashangaa sana kama Samuel etoo atamwacha song bila kumfukuza .
 
Wote walewale tu mkuu. Hakuna yeyote aliyekuwa na fiteness wala mpira wa akili.
 
Huyo Dili ya Kufundisha Cameroon Alipewa na Swahiba Ake Etoo, Ila watu walipiga Kelele saana,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…