Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #6,061
Ngoja tumuoneJe Umemiss Khalid Aucho?
Basi Usisubiri NBC PL Irudi Pale Guinea Ikweta Kuna Copy yake Inaitwa Fred Bikoro Jamaaa Fundi
Mtazame Vizuri jezi Namba 4 anavaaaNgoja tumuone
Salama mkuu…karibu tena kijiweni kwa mechi za leoZa Toka Jana Wadau
Muda wetu wa uchambuz umefika
Haina noma mkuuMtazame Vizuri jezi Namba 4 anavaaa
I support youEqutorial Guinea XIView attachment 2886223
Wanakificha 😅😅Yule refa wa mdada wa kisauzi mbona hapewi mechi achezeshe
Kwa hatua hz nahis labda hawamwamin kihivyo siunajua tena mtoano huu 🤔Yule refa wa mdada wa kisauzi mbona hapewi mechi achezeshe
😅😅😅Yaani mechi inaanza na tanesco wanaubeba mzigo wao..pumbavu zao
Hakika ni mda wetu wachambuz #JF wachambuz [emoji41]Za Toka Jana Wadau
Muda wetu wa uchambuz umefika
Hili shirika ni zaid ya wehu basi tu.Yaani mechi inaanza na tanesco wanaubeba mzigo wao..pumbavu zao