Kutoka wapi mkuu?Pira la leo ni pira updates ni mwendo kuchungulia tu humu muda wote.
Ila Tanesco mafisi
Watajilaumu sana
Basi mpe farao baadae mayele lazima aondoke Leo
KizimkaziKutoka wapi mkuu?
Bado sanaRefa hii game imeamzid nguvu
Tayari mtu keshaliwa kichwaHapa Kuna Timu itapewa Kadii Umeme
Maana wanakanyagana sana