Uyu Madevu?Nsue...atajutia ile nafasi ya wazi aliyopoteza
YesUyu Madevu?
DahhhTayari mtu keshaliwa kichwa
Ndio haoHawa equatorial ndo walimpiga Ivory Coast 4?
Upo sahihi. Ni Msomali huyoHuyu refa nikajua ni mdogo wake Bashe[emoji28][emoji28]
Wamejua kuziba mianya siunaona nyuma wanabak wa4 ngumu sanaHawa equatorial ndo walimpiga Ivory Coast 4?
Kushinda ni ujanja piaHuyu Salvador mbona anatafuta sana huruma za refa akiguswa kidgo anajituupa na kilio juu
Asilimia 90 wakirudi ni tutaMbona Kama kuna TUTA[emoji23]
Kwa nani ?Mbona Kama kuna TUTA😂