Miguel Alvarez
JF-Expert Member
- May 28, 2019
- 2,856
- 5,430
😁😁😁😁😁😁!Daaaaaah uchawi upooo
Kocha anabid amtoe hawezi tena kufocusDaaaaaah uchawi upooo
Kabisa inapaswa kocha amtoe lazima ni kama yale ya Percy tauTayari psychologically disturbed. Labda afunge kupunguza maumivu
Boraamekosaaa
Zipi hizo ndugu.Kidokezo: Mechi 4 kati ya 8 za hatua ya 16 bora zimehusisha timu zinazopakana