2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Kila la Heri batu ba fasi ya congo...
Wachezeshe ile ndombolo ya soloo mpka presha nangai iwapande waarabu koko...
Matondi mingi mpo na mosala makasi oyo bozali kosala
Asante sana mtani wangu Hawa waarabu hawatoki nawapiga magoli mingi hapo juu nimeandika na lingala Kabisa yaani maana yake ni Asante sana kwa sapoti mtani wangu
 
[emoji1078] Wacheze kama watu wenye akil Timamu watumie nafas wakileta ufala wanaofanya wakina Wissa ya kukosa kosa magoal ovyo kitakacho wakuta watajua wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…