Leo hajacheza.Karud Liver
Kama Misr akitoka Leo,kesho utamuona FA anakiwasha
Sidhan kama anaweza kufanya hivyo ataogopa kutukanwaKarud Liver
Kama Misr akitoka Leo,kesho utamuona FA anakiwasha
Banausoma mchezo!hii mutu haijatulia kabisa
Mpira una maumivu nyieeeee...
Hawa wakaka wa EQG wameniliza kwakweli....
mpaka sasa umelalia pande yaoBanausoma mchezo!
tukutane baadae nikiwa nashabikia Banyamulenge
Siunajua wanaweza wakazuga wamempiga Mikuki (sindano),😁Sidhan kama anaweza kufanya hivyo ataogopa kutukanwa
Dah! tunapigwa muda sio mrefu
Kumbe upo na congo!Congo ni stars iliyochangamka
Tunamsubir tuone😀Siunajua wanaweza wakazuga wamempiga Mikuki (sindano),😁
Mbona hawa Congo walicheza vizuri sana na Morocco!!?
ha ha ha ha ba kongoo tuko bakutosha hapaSema unapigwa, na sio tunapigwa