Miguel Alvarez
JF-Expert Member
- May 28, 2019
- 2,856
- 5,430
Huyo atakuwa mixa 🤔Hivi Theo hii rangi ni ya Congo kweli? Mbona hii light skin sio ya afrika kabisa?
Wajuzi
LEO FARAO ANAHATARI
Poa poa babaaha ha ha ha ba kongoo tuko bakutosha hapa
Na venye jamaa yao ako na selfishness hataki hata kutoa assist bangeshafunga !mpaka sasa umelalia pande yao
Ninachowapendea Wamisri wakiwa uwanjani wana sura za kazi, hawacheki na kima. Ushindi utatafutwa kwa njia halali au ikibidi njia haramu
PEgypt tunashinda hii mechi mzee baba, hao wafaransa weusi warudi vitani
inapenda kumusifaNa venye jamaa yao ako na selfishness hataki hata kutoa assist bangeshafunga !
Hahahaha farao kwa mpira wa Vichwa ni hatariSasa hivi mvua itanyesha mahala
tuone panapovuja
Shida roho mbaya MESHACK ni mzuri ila ana roho mbayaCongo anashinda [emoji41]
Bado hawana utulivuwakongo wakiongeza umakini na kuacha kubutua tunaweza pata goli mapema kabisa
Baache masihara lasivo batafumuliwa mapema sanainapenda kumusifa
bataimbiwa tabulele raaaBaache masihara lasivo batafumuliwa mapema sana
Tatizo ako mbinafsi sanaMESHACK Elia ana spidi na anafika eneo la farao ila ana roho mbaya sanA