Rais wa shirikisho lazma awe na bajeti neneMotsepe yupo Kila Match.
Ana manage vipi huyu mwamba?
au kuna private jet kumfikisha mechi zote
Bameshack bamemuambia muke wake atafunga bagoli kwa ajili yakeTatizo ako mbinafsi sana
But Niko na imani nao sijui kwanini!bataimbiwa tabulele raaa
Mkuu mimi sioni matuta hapa.Game haotokuwa na magoli mengi
😁😁😁😂!Bameshack bamemuambia muke wake atafunga bagoli kwa ajili yake
Imani yako na itimilizwe. Mungu ni mukubwa....But Niko na imani nao sijui kwanini!
Sure 90' zitakua zishaamuaMkuu mimi sioni matuta hapa.
Si mchezo.Rais wa shirikisho lazma awe na bajeti nene
Cha motoooo🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸