Kiweriweri
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 2,150
- 3,086
Hata mimi unajua. Ni kama alitanguliaHili goli sijalielewa
Wakipwaya tunawapenyeza nyingine! Acha balete utani nabatu Bakongo tuSisi 1. Wao 0
Wanajua ku pressSema Egypt huwa ni wepesi sana kurudisha goli
Aamin aaamin!Wawakilishi pekee wa Africa Mashariki
Hujaelewa nini sasa.Hili goli sijalielewa
Tuliwakosakosa kwel Ile Siku ,🤪Tuwaombee wawakilishi pekee wa Africa Mashariki