The Lastdream
JF-Expert Member
- Jan 23, 2024
- 1,970
- 4,616
π£π£π£π£π£Game ngumu hii
Umesoma mwisho darasa la ngapi shule ya msingi ?Penat ya mchongo hiii
Naunga mkono hojaSema ule mkono kampiga usoni.
Inaweza kua nyepes lkn wkt huu wa VAR usifanye utan kbs itafunikwa.
Nilisema huwa wapo faster sana kurudisha goli.Wanajua ku press
Ahaa wapi penalty halaliwaarabu wanajua kumchamganya refa asee....
Usisahau hawa wote ni wazee wa drooMkuu mimi sioni matuta hapa.
Yan zama izi za VAR acha kbs kufanya utan wa aina yoyote maana ikienda kuangaliwa tu imekula kwako.Naunga mkono hoja
Ipo sawa maana jaamaa kampigakiwikoDuh hii penalty mbona siielewi