Mkuu. VAR inajaribu kufanya mtu kuwa perfectionSema ule mkono kampiga usoni.
Inaweza kua nyepes lkn wkt huu wa VAR usifanye utan kbs itafunikwa.
Kabisa kakaYan zama izi za VAR acha kbs kufanya utan wa aina yoyote maana ikienda kuangaliwa tu imekula kwako.
Wachezaji wanafanya makosa ya kijinga mno zama hizi za VAR ni mwendo wa matuta.Yan zama izi za VAR acha kbs kufanya utan wa aina yoyote maana ikienda kuangaliwa tu imekula kwako.
Jamaa wakiwa uwanjani kama wako vitaniEgypt moja iyo babaa
Ndo tatz kubwa sana yan radha ya ule mpr wa ubishani na matukio ya utata inapotea.Mkuu. VAR inajaribu kufanya mtu kuwa perfection
Saiv yan ukileta ufala utaikuta imefunikwa.Wachezaji wanafanya makosa ya kijinga mno zama hizi za VAR ni mwendo wa matuta.
hapo nimeelewa, ahsante kwa ufafanuziI
Ipo sawa maana jaamaa kampigakiwiko
Mkuu zama za VAR hizi ile penalty halali kabisa.Penati imetolowe kirahisi sana hii.
Yeah Akitulia jicho likiwa focused bila kupepesa hata kope😊Ukimuona mpiga penati kama anadunda hivi kwanza ujue hilo asilimia 95 ni goli 😀😀😀
Marefa hawana mchezo kabisa sasa hivi.Saiv yan ukileta ufala utaikuta imefunikwa.