Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Mda si mrefu nawapiga yopeeeMisri wameandamwa
Hii pressure wanayowapa farao ndio waitumieDRC wanawamudu kikamilifu ..
Kwa kua haiwezekani, unaonaje Mafarao Warudi kwao leo wakatunze ma PiramidIla Congo na Misri kama ingewezekana wangetoka wote
😂😂Ila Congo na Misri kama ingewezekana wangetoka wote
Yoyote kati yaoKwa kua haiwezekani, unaonaje Mafarao Warudi kwao leo wakatunze ma Piramid
Kocha wa Kongo, hamkubali sana MayeleIla Huu ni wakati wa Kuingia Mayele Awakimbize hapo Mbele.
Wamemkata itakuaIla Huu ni wakati wa Kuingia Mayele Awakimbize hapo Mbele.