Ituzaingo Argentina
JF-Expert Member
- Jun 20, 2020
- 1,868
- 2,191
😅😅😅kwamba ni ngumu kujikaza.
HapanaSio penalty ile ?
Huyu ni wawapi tena??
Ila Huu ni wakati wa Kuingia Mayele Awakimbize hapo Mbele.
Sidhani kama watampanga Mayele. Akiwafunga Misri ataishi kwa tabu sana akirudi kibaruani kwake. Misri siyo nchi ya Mama wa Kizimkazi.Kocha wa Kongo, hamkubali sana Mayele
Mo SalahHuyu ni wawapi tena??
Kwamba atasugua matako nje mpaka achoke?😂😂🤣Sidhani kama watampanga Mayele. Akiwafunga Misri ataishi kwa tabu sana akirudi kibaruani kwake. Misri siyo nchi ya Mama wa Kizimkazi.
Daaah ila kweli na Ukizingatia hawa ndugu zetu waarabu kwa Ubaguzi tuu wako Vizuri.Sidhani kama watampanga Mayele. Akiwafunga Misri ataishi kwa tabu sana akirudi kibaruani kwake. Misri siyo nchi ya Mama wa Kizimkazi.
Pamoja na hayo, huyo mwamba huwa hampangi Mayele mara kwa maraSidhani kama watampanga Mayele. Akiwafunga Misri ataishi kwa tabu sana akirudi kibaruani kwake. Misri siyo nchi ya Mama wa Kizimkazi.
Sema anakaubinafsi flani hiviHuyu Elia yuko njema sana,
Ni mchezaji Machachari ila Sio MahiriHuyu Elia yuko njema sana,
Yeah!Atakayepita hapa atakuwa na mechi rahisi sana ya robo fainali
Mo salah wa bongo sio?Mo Salah