Hatuwezi kufa hapaCongo anakufa hapa
Nani?Ntampiga kwenye extra time
Dakika 30 zijazo ataingia huyooKwa hiyo Mayele anapangwa kwenye mechi za Waswahili tu au vipi?
Dah
Kesho ni Jumanne acha kutudanganya hapa [emoji1787][emoji1787]Au hawajui kama Kesho Ni Jumatatu
😂😂😂😂Kesho ni Jumanne acha kutudanganya hapa [emoji1787][emoji1787]
Ndio wanatufanya tulale 2hoursKuna hatari ya mkesha mrefu
MwarabuNani?
🤣😂😂hawajui kwamba kesho tunatakiwa twende vibaruani?
Jumatatu(leo) huwa huendi?hawajui kwamba kesho tunatakiwa twende vibaruani?
Alaah, Kumbe siku ishapinduka,Kesho ni Jumanne acha kutudanganya hapa [emoji1787][emoji1787]
Sio kesho ni leohawajui kwamba kesho tunatakiwa twende vibaruani?
Huyo Mwl wao hamtumii sanaKwa hiyo Mayele anapangwa kwenye mechi za Waswahili tu au vipi?
Dah