Night Watch
JF-Expert Member
- Apr 4, 2017
- 2,092
- 2,126
Naunga mkono hojaUsikariri wenyewe walijua wataifunga Congo DR kiko wapi mpira haudundi kwenye tope
usikimbie tu🤣🤣Atakaeanza kufungua dimba Out Egypt Out
Hizi ni kauli za ku control emotion 🤣🤣Penalty hazina mwenyewe wapige tukalale.
Nipo hapa Mzee njoo vileusikimbie tu🤣🤣
SawaAnakosa huyo
Kongo kwenye penati wanatoboaAnatafuta penat na amezipata na ndio safari
Kwa kweli wapige wamalize tukalalePenalty hazina mwenyewe wapige tukalale.
Halafu zimekuwa nyingiiiiiiiHizi ni kauli za ku control emotion 🤣🤣