Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Kaka preshaa hiyo ila tumeshinda hapaMutu ya Lubumbashi shida nini😀
Yalikuwa maneno ya kujifariji😂DRC tulitoka nao droo; kwa hiyo tuko nguvu sawa!!
Njoo vileWatu wanatafuta penalty Egypt Out Congo DR
Msiseme sikusema
Atoke TU nae[emoji2]Katika Timu za waarabu imebaki moja tu Morocco.
Misri hajashinda mechi hata 1Sema Egypt walikuwa dhaifu toka makundi. So Congo na Guinea. Congo huyo nusu fainali.
Asulubiweehaya ndugu zangu wabantu, tumebakiza mwarabu mmoja tu ambaye ni morocco.
siku ya game tuungane wote kwa pamoja kusapoti south.
nauliza Morocco tumfanye niniiiiiiiiiiii?
Aziz Ki anatoka, hawako vizuri wale.Kesho Yanga mmoja lazima atoke kati ya Azizi Ki na Djgui Diara
Na hajashinda mechi hta moja, yy ni draw tuSema Egypt walikuwa dhaifu toka makundi. So Congo na Guinea. Congo huyo nusu fainali.
Morocco wenzetu tu wale japo hawatutaki, Katika waarabu wao ndiyo wanafanana zaidi na sisi.Katika Timu za waarabu imebaki moja tu Morocco.
Bora huyo wakongo gabaksi ni kama kipa wa mabibo starsHatimae wamemaliza, yn km wachezaj wasingepaisha bas penat zingepigwa hd asubuhi. Hao makipa wote hamna kitu
Huyo nae atakufa kifo kibaya sanahaya ndugu zangu wabantu, tumebakiza mwarabu mmoja tu ambaye ni morocco.
siku ya game tuungane wote kwa pamoja kusapoti south.
nauliza Morocco tumfanye niniiiiiiiiiiii?
Hasa wa congo hakuwa ananipa matumaini kabisa ya kuja kudakaHatimae wamemaliza, yn km wachezaj wasingepaisha bas penat zingepigwa hd asubuhi. Hao makipa wote hamna kitu
🤣🤣🤣🤣🤣Hizi timu zilivyo za kijinga zinataka kuendelea kusonga mbele kwa kutoka sare tu? Maana tangu waanze wao ni sare tu hadi hapo walipo.
Ova