Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 10,644
- 32,375
Hizi za saa 23:00 usiku hapa kwetu, kule Ivory coast ndio saa 20:00 usiku Mkuu.Ahsante Mkuu....
Doh!!! Kwanini mechi zenye amsha amsha nyingi zimepagwa usiku hivyo jamani.
Mkuu leo mechi ipo ? Naona TBC wana habar badoBado masaa machache shughuli ya ivory coast iishe.
Azam wapo LIVE wanachambua mechi ya saa mbiliMkuu leo mechi ipo ? Naona TBC wana habar bado
Tusiwadharau WENYEJI wanaweza kutulaza na viatu Leo ,🤔Cape Verde
Senegal
Robo fainal uhakika
Huyu Cabe Verde Mauritania atamshamgaza leo anatolewa hutoaminiCape Verde
Na wasiwasi sana na hao Mauritian 😁Hii mechi haikosi umeme Leo.
Mkuu kwenye jukwaa letu la mikeka tunawahitaji sana watu kama nyinyi😁Jana nilisema Egypt na Congo sare ndani ya 90 min na ikawa hivyo