Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Mtachaniwa mikeka mpaka mshangae😃Mkuu kwenye jukwaa letu la mikeka tunawahitaji sana watu kama nyinyi😁
Cabo Verde wanajua wanatolewa kwa hio wanakamia Goli ili wapindue matokeo Ila wapiHaya walete hao.
#JF uchambuz tupo tyr.
Kama umebet kwa laki ushaliwa mkuu [emoji23]Cabo Verde Out Mauritania In
Usiseme sikusema
Mim naona maurtania anatoka leoCabo Verde wanajua wanatolewa kwa hio wanakamia Goli ili wapindue matokeo Ila wapi
Wanakamia Goli Ila mpira ukiisha watabakia wameduwaaCape Verde wameanza na moto
Uwataki CCMLeo nipo CV
Hii game haipindui 90Inaonekana game ya moto hii
Leo nipo Mauritania tukutane ubaoni baada ya dakika 90Leo nipo CV
90 tunafunga hesabu mtu anafia hapoHii game haipindui 90
Pira single touch..Mmmh cabo verde wanapeleka moto