The Lastdream
JF-Expert Member
- Jan 23, 2024
- 1,970
- 4,616
Hii Cabo Verde anashinda90 tunafunga hesabu mtu anafia hapo
Unaona kabisa move za magoli tofaut na zamani butubutu magoli yakistukizaHuu mpira sio poa kama fainali ya uefa π₯π₯π₯π₯π₯π₯
Ndio huyo huyo atalia sana gemu ikiisha maana kakamia gemuAanhaaa ryan ana hatariπ₯π₯π₯
Jana umepatia leo utaumia nakushauri tu rudi kwa CVπ€£Ndio huyo huyo atalia sana gemu ikiisha maana kakamia gemu
Ya baadae je?Mechi ya leo moto
Watawekana muda si mrefu
π€£πMechi ya leo moto
Watawekana muda si mrefu
Mpira wa africa umekua wachezaji wana ari timu zinafungana magoli ilaaaaaaa...... wajukuu wa nyerere naona wamegoma kabisaTuwe wakweli Soka letu la Africa limebadilika sana
Unaona kabisa move za magoli tofaut na zamani butubutu magoli yakistukiza